Mfanyakazi wa Sulubu - Hadithi Fupi ya Mapenzi

af

(Ebog)
Læs et uddrag

Pris

6,29 kr.

FORVENTET LEVERINGSTID: Øjeblikkeligt pr. e-mail

Beskrivelse

"Nilikigeuza kichwa kwa haraka na kumwona akiwa amesimama katika dirisha la katika la chumba kikuu, akiwa amenikazia macho. Baadaye alitoka nje akiwa bado kwenye kanzu lake refu la kijapani lenye picha za korongo. Alinipokeza glasi ya maji ya barafu. Niliiweka glasi kwenye kinywa changu na kufikiria jinsi mwili wake ulivyo akiwa uchi,"Henry ni mfanyakazi katika tango la mafuta katika Bahari ya Kaskazini. Yeye hufanya kazi kwa mfululizo wa saa 12, kila siku, kwa kipindi cha siku 14. Baada ya wiki mbili yeye huenda kwenye nchi kavu ili kupumzika, kutangamana na marafiki zake na wenzake anaofanya nao kazi wasio na familia kama yeye. Yeye hutumia muda wake mwingi usiku na wanawake, akiwapa raha na kuziachia hisia zake kuwa huru. Ifikapo asubuhi, yeye huwaaga na kuondoka. Sheria yake ni rahisi: mwanamke mpya kila usiku. Ni katika tukio moja tu ambapo anakiuka sheria hii. Jina lake ni Clara.Hadithi hii fupi imechapishwa kwa ushirikiano na mzalishaji wa filamu wa Kiswidi Erika Lust. Lengo lake ni kuonyesha hali na utofauti wa mwanadamu kupitia uchu, vitendo vya kimapenzi, ashiki na upendo kwa kuchanganya na hadithi nzito na za kutia ashiki.

Marianne Sophia Wise ni mwandishi wa hadithi za ashiki.

  • Sideantal
   15
  • Udgivelsesår
  • Udgave
  • Oplag
  • Forlag
   LUST
  • Originalsprog
  • Sprog
   swa
  • Indbinding
   Ebog
  • ISBN/EAN
   9788726216561 / 9788726216561
  • Filstørrelse
   64 KB
  • Filtype
   epub
  • Digital Beskyttelse
   DigitalVandmaerkning

Læseprøve

Varen blev lagt i din kurv